Mataifa tisa yana silaha za nyuklia hivi leo: Marekani, Russia, China,Ufaransa, Uingereza, India, Pakistan, Israeli na Korea Kaskazini. Russia na Marekani ndizo zina hifadhi kubwa zaidi ya silaha za nyuklia.