Silaha aina nyingi za nyuklia hutumika.
[END]
Masizi na ukungu wa moshi hufunika miale ya jua.
Halijoto duniani hushuka kwa kiwango kikubwa.
Shughuli za kilimo huporomoka.
Mamilioni ya watu hufa njaa.