Changia
Kama alivyosema wakati mmoja aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon: “Dunia ina silaha nyingi kuliko inavyohitaji, ilhali shughuli za amani hazitengewi pesa za kutosha.” Kwa kutoa michango kwa ICAN, unaweza kubadilisha hali hiyo.
ICAN ni shirika la utetezi wa haki za kiraia linalopigania kupunguzwa kwa silaha za nyuklia ulimwenguni. Utetezi wake umebainika kote na mnamo 2017, lilipewa Tuzo la Amani la Nobel. Mchango wake utatusaidia kupeleka kampeni yetu hadi mwisho ambao ni kumalizwa kabisa kwa silaha za nyuklia.